Sunday, January 17, 2010

KARIBUNI

Hello tz,
karibuni katika gazeti tandao jipya litakalokuwa likiwaletea mambo mbalimbali katika jamii yetu ya Tanzania.
Mambo yahusuyo siasa,uchumi,utamaduni na matukio mbalimbali yanayotokea Dar es salaam na mikoani pia.
Tutahabarishana matukio mbalimbali yanayotokea nje ya mipaka ya nchi yetu.
Nitakufichulia pia mambo mbalimbali ambayo yamejificha katika jamii na kuonekana ya kawaida lakini upande mwingine huleta madhara makubwa katika jamii yetu.

Nimatumaini yangu kuwa tutakuwa pamoja,nikitegemea zaidi maoni yenu.

Asanteni!
T.A.N